Ad Code

MANENO MATAMU YAKUSEMA UKIWA NA MPENDWA WAKO

Kwa mpenzi wangu, wewe ni msichana mrembo zaidi kuliko kiumbe chochote ktk maisha yangu, nakupenda zaid ya kitu chcht ama yeyote. NDoto yangu ni kuwa penzi letu litaendelea kuwa na nguvu kadri siku zinavyosonga.Kwa sababu ya penzi lako,mpenz wang nawez kuukwea mlima mrefu na pia kutatua matatzo makubwa zaidi. Penzi langu kwako linayapa maisha yangu sababu ya kufanikiwa. Bila penzi lako katika maisha yangu, maisha yanakuwa ya upweke na kiza, wewe ndiye unayeleta mwangaza na rangi ya upinde kwa maisha yangu.Alfu mpenzi furaha inapulizwa ktk maisha yangu wakt unaponitabasamia, unapoongea sav yako ina nguv ya kunipeleka sehemu amby kuna upendo wa amani KAma ningepewa nichague kati ya kulia na wew ama kutabasamu na mwingne, ningechagua wew kila wakat. Wew ni penzi la maisha yangu.KWAni we ni sawa na chuma ktk ngao yangu, na mdundo ktk moyo wangu.Unafanya dunia yangu kuzunguka kila siku.Sijui nitafanya nini bila wewe yaan mpnz wang nakuitaji kama vile moyo wangu unavyohitaji kudunda. Uzuri wako umenifanya nisitamani pengne. NAkupnd sana mpnz

Post a Comment

0 Comments