Hizi ni Apps 11 muhimu kwa ajili ya simu yako. Kuna apps nyingi za kuweza kutumia ila hizi lazima uwe nazo kwenye simu yako
Bonyeza hapa ku download application ya ku track simu iliyopotea au kuibiwa

rue caller
Hii app itakayokusaidia kujua majina ya namba mpya inayokupigia (Namba ambazo haujajisave kwenye simu yako)
2. Gesture lock screen
Hii itakusaida kujua aliyetaka kufungua pattern au password kwenye simu yako hata ukipoteza simu au kuibiwa. Mwizi akijaribu kufungua password akikosea itampiga picha na kukutumia kwenye email yako.
3. WSP
Hii ni app inafanya kazi kama microsoft office kwenye computer. Utaweza kusoma vitabu zenye format mbali mbali, kuandika na kutengeneza pdf file kwenye simu yako
4. Lucky patcher
Hii itakusaidia kuondoa matangazo kwenye simu na kui-crack app yoyote ili uweze kutumia bure bila kulipia
5. CamScanner
Hii itakusaidia kupiga picha document zako kama vile vitambulisho, vyeti n.k kuziweka katika mfumo wa pdf au picha. Haina haja ya ku-scann vyeti vyako stationery. Tumia hii app
6. Mega au 4share
Kuna watu wana vitu muhimu sana kama picha, video za matukio mbali mbali, contacts document n.k kwenye simu zao. Kuwa na simu haimanishi vitu vyako vitaendelea kuwepo salama kila siku. Kuna simu kuibiwa au kuharibika. Sasa utafanyaje ili upate vitu vyako hapo ndipo watu huwa wanakumbuka kutafuta data recovery software na hizi haziwezi kurudisha vitu vyako vyote kwa 100%.

Mega na 4share ni cloud storage ambazo zitakusaidia kuhifadhi vitu vyako online na hata ukipoteza au kuibiwa simu bado utavikuta vikiwa salama. Sign up Mega au 4shared uweze kutunza vitu vyako. Wanatoa 15GB bure
7. Blackmart Aptoide au Ac market
Hii inafanya kazi kama Play store lakini humu utapata apps za bure ambazo play store zinauzwa. Kuna app unaona inauzwa play store $20 lakini hauna pesa na unahitaji sana. Tumia Blackmart, Aptoide au Ac market utaipata Pakua free apk hapa
8. Xender
Hii itakusaidia kutuma app, picha na video kutoka kwenye simu yako kwenda kwenye simu nyingine au kutoka kwenye simu kwenda kwenye computer. Jinsi ya kutuma file zako kwenda kwenye computer
9. Call Recorder
Hii ni app muhimu sana ambayo itakusaida kurecord kila mawasiliano. Kuna wakati unaweza tishiwa maisha na unataka umpeleke mbaya wako polisi kwa sababu amekutukana au kukutishia maisha. Na hauna ushaidi lakini kupitia hii app itarecord kila kitu
10. VLC Media player
Hii itakusaidia kuplay Video na Audio yenye format yoyote na kuweka subtitle. Kuna wale wapenzi wa movie huwa wanalazimika ku-convert movie ili waweze kuangalia kupitia simu ambapo hupoteza ubora wa movie. Tumia VLC apk. haina haja ya kuncovert movie yako
11.YTS
Kuna wakati unapata ugumu wa kudownload movie kupitia simu yako. Download Bit Torrent apk. au u Torrent apk. kish install kwenye simu yako. Fungua browser yako kisha ingia kwenye website ya https://yts.su kisha chagua movie unayoitaka. Kisha bonyeza Download button. Ikishamaliza kudownload bonyeza kwenye file ulilolidownload. itakupa option ya kufungulia file lako. Chagua Uttorent apk au Bitttorent apk. Na hapo itaanza kudownload. Pakua BitTorrent apk hapa

Maoni yako ni muhimu tuandikie kipi umejifunza au umependa/hujapenda ndan ya blog
Tuandikie kwenye sehemu ilyo andikwa "POST A COMMENT"
ASANTE!!!!!
2 Comments
MAONI YAKO NI MUHIMU TAFADHARI TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI