Ad Code

JINSI YA KU ROOT SIMU BILA KUTUMIA COMPUTER

 


NINI MAANA YA KU ROOT? 🤔

Kuroot simu ni kitendo cha kuifanya simu iweze kufanya mambo ambayo hayawezi kufanyika katika mfumo wa kawaida wa android.

NINI FAIDA YA KU ROOT SIMU YAKO? 🤔

  • Kubadili mwandiko
  • Kuweka custom ROM
  • Kununua vitu bure katika apps
  • Kufuta app zilizokuja na simu
  • Kuondoa matangazo
  • Kuongeza kasi ya simu
  • Kupunguza matumizi ya battery

HASARA ZA KU ROOT 😢

  • Kuondoa warranty
  • Hutoweza kupata updates na ukipata hutoweza kuziinstall
  • Uwezekano mkubwa wa kuharibu simu yako


JINSI YA KUROOT

Kuna njia nyingi za kuroot lakini njia hii nayoenda kukufundisha ndio njia nzuri zaidi!

VERSION YA 6 KUSHUKA CHINI JAPO SIO ZOTE ZINGINE ZINAKATAAGA

Pakua KINGROOT Kutoka Chrome

Hakikisha umeunganishwa na mtandao wa internet

Bonyeza "TRY ROOT" 

Subiri mpaka itapofika 100% (Simu inaweza kuzima na kuwaka wakati wa hatua hii, ni kitu cha kawaida na hakina madhara yoyote)

Baada ya kumalizika utapokea ujumbe ROOT SUCCESSFULLY pamoja na tiki

ENJOY ROOT IN YOUR DEVICE 😌

Post a Comment

0 Comments